LEO TENA KATIKA HILI NA LILE
Hapa ni kama anasema;"Nakupongeza sana Dustan Tido Mhando kwa kuwa bosi mpya wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited".
Hapa anaonekana Dk. Rose Migiro akijaribu kuonesha fani...
Kijana huyu mwenye wingi wa story na tabasamu pana mara apendapo ni
mtoto wa kwanza wa kaka Divo Lugaibura wao wanamuita 'Serikali',mtu
mwenye upendo kwa kila rika,Pichani ni Kijana IAN DIVO.
AMANI BOARDING ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL
PEACE SECONDARY SCHOOL
- · Uongozi wa shule ya Peace Secondary School ambayo ni shule dada na Amani English medium Primary School, zilizopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.
- · Unawapongeza wazazi na wadau wa elimu kwa ufahuru wa asilimia 100% katika matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka2011, na kuendeleza rekodi ya kufaulisha wanafunzi wengi katika mkoa wa Kagera.
Rekodi ya ufaulu wa wanafunzi waliofanikiwa kujiunga na kidato cha tano tangu shule ianzishwe.
MWAKA
|
NAMBA YA WANAFUNZI
|
NAMBA YA WALIOFAURU KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO (5)
|
ASILIMIA
|
2007
|
39
|
39
|
100%
|
2008
|
159
|
148
|
93%
|
2009
|
155
|
141
|
91
|
2010
|
157
|
151
|
96%
|
Uongozi wa Peace Secondary School Unawatangazia kidato cha tano katika shule ya Sekondari Peace.(Peace High School)kwa michepuo ifuatayo:
PCB,CBG,PCM,PGM,EGM,ECA,HKL,HGK,HE, na HGL
Usahili utafanyika kuanzia tarehe 20/02/2012 hadi 02/03/2012. Na masomo yataanza rasmi tarehe 12/03/2012. Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni Peace Secondary School,au piga
Simu No. 0784 425602 au 0767 428624
“KARIBU PEACE HIGH SCHOOL KWA ELIMU BORA NA YA KISASA”
Muonekano wa shule ya AMANI BOARDING ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL
Muonekano wa shule ya PEACE SECONDARY SCHOOL
Mandhari nzuri na ya kuvutia katika bustani ya AMANI BOARDING ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL