LEO TENA KATIKA KUMBUKUMBU NA BUKOBAWADAU.
Kipusa huyu yupo wapi?leo Bukoba wadau tunatumia muda wetu kuwakumbuka wabishi wa kitaa ambao tumepotezana Machoni.
Mrembo huyu Aneth (pichani)hatujui anapatikana kipande gani cha Dunia hii,lakini pengine ni katika harakati za kutaka kuyaweka sawa maisha,wadau mbalimbali wanasema wapo pamoja na wewe na tunakukumbuka sana popote ulipo.
Mara ya mwisho Bi Happy( kulia) alikuwa Masubo Phones na huyu mwenzie alikuwa Celtel,Airtel sijui baada ya hapo wapo wapi,ila walishiriki na wengine kuufanya mji wetu uwe na changamoto flani hivi za kimjini.
HII NI LEO TENA KATIKA KUMBUKUMBU NA BUKOBAWADAU!!!!!