MAMA ASIA IDAROUS KHAMSIN ASHEREKEA KUFIKISHA MAONYESHO 100
Keki ya kutimiza shows 100 za Mitindo
Mwandaaji
wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia
Idarous Khamsin akiwakaribisha wageni katika sherehe ya kusherehekea
kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini
Dar es salaam. Pembeni yake ni mbunifu wa mavazi Rio Paul na mwanzake.
Mwandaaji
wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Gadner
Habash ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa Nyumbani Lounge katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji
wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmoja ya
wanamziki wa Kalunde bandi na Deo Mwanambilimbi ambaye ni mmiliki wa
bendi hiyo katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Victor Chashmir katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Belina Mgeni katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Hamoup Lukelezi katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mbunifu wa mavazi Falha Sultan katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam .
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mbunifu wa mavazi katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa
Mtindo Asia Idarous Khamsin akikata keki katika sherehe ya
kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani
Lounge jijini Dar es salaam. Wanaoshangilia ni wabunifu wa mavazi wenzake.