Mazungumzo ya Rais Kikwete na Wazee wa DSM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa Dar es salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal akifuatuwa na Mkuu wa Mkoa huo Mh Saidi Meck Sadick na shoto ni Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam Mh Iddi Simba
Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Iddi Simba akitoa kura ya shukrani
Wazee wa Dar es salaam wakimsikiliza Rais Kikwete