MECHI YA SIMBA NA ES SETIF LIVE UWANJANI LEO
Kama kawaida tumefika uwanja wa Taifa kukuletea habari kemu kemu kwa
njia ya Picha za mnato Live kutoka Jijini Dar es salaam. Hapa mashabiki
wakiwa wanapigana kuingia uwanjani.
Wachezaji wa simba wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mechi.
Wachezaji wa ES SETIF wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mechi.
Kikosi cha simba
kikosi cha ES satif
piga nikupige katika lango la ES setif
Hadi mwisho wa mchezo simba iliibuka kidedea dhidi ya ES setif kama unavyojionea hapo kwenye Big screen
Kikosi cha simba
kikosi cha ES satif
piga nikupige katika lango la ES setif