MH.FABIAN MASAWE;Azindua harambee ya kutunisha mfuko wa maandalizi ya mkutano mkuu wa UKUTA utakaofanyika kitaifa mkoani Kagera.
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe, akitoa hotuba ya
ufunguzi wa harambee ya kutunisha mfuko wa maandalizi ya mkutano mkuu wa
UKUTA itakayofanyika kitaifa mkoani Kagera, massawe ndiye aliyeongoza
harambee hiyo ambapo jumla ya shilingi milioni 1.2 zilichangwa
papo kwa papo na ahadi zilizotolewa ni zaidi ya shilingi milioni 12..
Waalikwa mbalimbali walioudhuria harambee iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu , Massawe.
Picha na habari kwa hisani ya Audax .