Bukobawadau

MSAADA WA MATIBABU UNAITAJIKA.

Mdau pichani ni Ndg Ismail Amir.Mdau huyu ni mkazi na mzaliwa wa kamachumu.
Ndg Ismail Amir anasumbuliwa na Ugonjwa wa kansa  na anahitaji msaada ili aweze kufika Dar es salaam kwa ajili ya matibabu zaidi.
Kwa sasa anasaidiwa na Izaas Medical Project Bukoba.

UONGOZI WA IZAAS MEDICAL  PROJECT UMEONGEA NA BUKOBAWADAU  NA KUSEMA YA KWAMBA WANAMWANDALIA BARUA YA KUCHANGISHA ILI AENDE DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI!!!!!!!.
Next Post Previous Post
Bukobawadau