Bukobawadau

MSANII 20% KUWASHIRIKISHA MA HOME BOY ODA MAN NA PRINCE SADO KATIKA FILAMU MPYA;Filamu itajulikana kwa jina la 'Dunia mzunguko'

 Msanii 20% kumshirikisha msanii Obed Sabah  aka Oda Man katika filamu mpya itakayojulikana kwa  jina la MAISHA MZUNGUKO.

 Kikubwa wakati wa making ya filamu hiyo  hawa jamaa zangu walisahau lindo wakakimbilia kupigwa picha na msanii 20%.
 Msanii 20%katika baadhi ya matukio katika filamu hiyo ya 'DUNIA MZUNGUKO'
 Baadhi ya maeneo ya mjini hapa yatakayo onekana katika filamu hiyo mpya.

Na mji wetu kiujumla una maeneo mbalimbali ya kuweza kuvutia ata watalii.
Kulia ni msani Sadru Haluna aka Puyaman yeye upenda kujiita man unvertyra mzee wa kazi aka Prince Sado msanii  huyu alitamba na nyimbo kama Pu K.O, nataka nikupe,baby you see,na ile ya natokea bukoba. 

Prince Sado pia kushirikishwa katika filamu hii mpya ya msanii 20%.

BUKOBAWADAU TUMESHUHUDIA VIJANA WENGI MJINI HAPA WENYE VIPAJI MBALIMBALI LAKINI HAKUNA WA KUVIENDELEZA!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau