MSANII ALIEJUA THAMANI YAKE KITAMBO NA KUJIITA JINA LA MADINI ATAFANYA ONYESHO MJINI HAPA TAREHE 1-04-2012
Msanii Nyota wa Muziki wa Kizazi kipya Diamond Platinum atafanya Onyesho lake mjini hapa ndani ya Linas Night Club siku ya jumapili ya wiki hii tarehe 1-04-2011.
Onyesho hilo limedhaminiwa na Misifa Classic Wear,ambao pia ni wadau wakubwa wa bukobawadau blog.
Mdau hapa si kwamba Diamond ANALIA....?Hii ni katika kupagawisha mashabiki wake na wimbo wake wa Nitarejea.!!!!