Bukobawadau

UONGOZI WA PEACE SECONDARY SCHOOL NA AMANI ENGLISH MEDIUM P.SCHOOL UNAWAPONGEZA WAZAZI NA WADAU WA ELIMU KWA UFAHURU WA ASILIMIA 100% KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2011

AMANI BOARDING ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

PEACE SECONDARY SCHOOL

  • ·         Uongozi wa shule ya Peace Secondary School ambayo ni shule dada na Amani English medium Primary School, zilizopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.
  • ·         Unawapongeza wazazi na wadau wa elimu kwa ufahuru wa asilimia 100% katika matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2011, na kuendeleza rekodi ya kufaulisha wanafunzi wengi katika mkoa wa Kagera.

Rekodi ya ufaulu wa wanafunzi waliofanikiwa kujiunga na kidato cha tano tangu shule ianzishwe.

MWAKA
NAMBA YA WANAFUNZI
NAMBA YA WALIOFAURU KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO (5)
ASILIMIA
2007
39
39
100%
2008
159
148
93%
2009
155
141
91
2010
157
151
96%


Uongozi wa Peace Secondary School Unawatangazia kidato cha tano katika shule ya Sekondari Peace.(Peace High School)kwa michepuo ifuatayo:

PCB,CBG,PCM,PGM,EGM,ECA,HKL,HGK,HE, na HGL

Usahili utafanyika kuanzia tarehe 20/02/2012 hadi 02/03/2012. Na masomo yataanza rasmi tarehe 12/03/2012. Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni Peace Secondary School,au piga
Simu No. 0784 425602 au 0767 428624

“KARIBU PEACE HIGH SCHOOL KWA ELIMU BORA NA YA KISASA”

 Muonekano wa shule ya AMANI BOARDING ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

 Muonekano wa shule ya PEACE SECONDARY SCHOOL


 Mandhari nzuri na ya kuvutia katika bustani ya AMANI BOARDING ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

Next Post Previous Post
Bukobawadau