Bukobawadau

AJALI HIVI PUNDE MAENEO YA MOMBO BARABARA YA KARATU;tarifa kwa kina itafata

Gari aina ya Land Cruiser ambalo namba zake hazikufahamika likiwa Nyanganyanga baada ya
Bus ya  Dar Express yenye  nambari T 668 AXL  iliyogongana na gari aina ya Land Cruiser,watu wote kwenye bus wamesalimika na mtu mmoja na mke wake wenye land Cruiser wamejeruhiwa vibaya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau