Bayern Munich 2-1 Real Madrid ni Bao la Gomez linalowapa Matumaini Buyern
Ni bao la Buyern lililopatikana dk ya 17 kipindi cha kwanza kupitia kwa mshambuliaji Frank Ribery, na bao la Madrid limefungwa na mchezaji Cristiano Ronaldo baada ya kazi nzuri ya Karim Benzima.
Mcheza wa timu ya taifa ya Ujerumani na Buyern Gomez ndiye aliyetupia bao la pili kwenye dakika ya 90 na kuipatia timu yake ushindi wa 2-1 dhidi ya Madrid katika nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa.
Mtanange huo umechezwa usiku wa jana kwenye uwanja wa Allianz ArenaM.