Bukobawadau

Bei za Vyakula Duniani zimepanda Zaidi kwa Asilimia 8% kati ya Dec na March,zikichochewa na Bei ya Mafuta kupanda,Mahitaji makubwa ktk Bara la Asia na Hali Mbaya ya Hewa huko Ulaya,Amerika Kusini na USA hii ni Kwa Mujibu wa TATHMINI YA BEI ZA VYAKULA YA BENKI YA DUNIA

Next Post Previous Post
Bukobawadau