Bukobawadau

BIHALAMURO BOMANI HII LEO HILI NI JENGO LA KIHISTORI (1902-1905)

Nafika moja kwa moja katika Jengo la Bomani bihalamro navutiwa na mwonekano wa Jengo hili la kihistoria linalo milikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bihalamuro
Katika kuangaza kila pembe ya Jengo hili nagundua limejengwa kwa mawe nadhani ndio yanapelekea uimara.,
Historia inaonyesha ni Jengo la mwaka 1902 chini ya Utawala wa Wajerumani ikiwa ni enzi za Ukoloni.
Picha za kumbukumbu za makabila ya ndani na jirani ya Mkoa wetu wa Kagera
Bunduki ya makumbusho toka enzi hizo japo kwa sasa Jengo hili linaendelea na shughuli ya Mghahawa mmoja tu wa kawaida!!!.
Wadau Wabishi katika ufatiliaji wa mambo mbalimbali ni Mdau Self Mkude na Papaa Mugisha wakiwa na mwenyeji wakipata maelezo kiundani
Next Post Previous Post
Bukobawadau