DIAMOND AWASILI MJINI BUKOBA MCHANA WA LEO KWA AJILI YA ONYESHO LITAKALO FANYIKA USIKU HUU NDANI YA LINAS
Ndege ikiwasili uwanjani majira ya mchana leo
Wadau wakimsubili Diamond
Erasi kulia na Mdau dullah
Diamond ndani ya nyumba akitoa hi! kwa wana Bukobawadau What's Up BUKOBA!!!!
Diamond akiwa na wapambe wake akiingia ndani ya gari tayari kwa safari ya kuelekea hotelini
Diamond akisalimiana na jamali Kalumuna maeneo ya hoteli ya victoria
HANDSOME BOY DIAMOND...........!!
Kulia ni Erasimus almaarufu kama misifa na mmiliki wa maduka ya misifa classic wear ambaye amemleta Diamond bukoba
Wadau wakiwa katika pozi na Diamond
Diamond akifatilia libeneke la Bukobawadau kama kawaida live. Sound kali ikiandaliwa na wataalamu ndani ya LINAS CLUB