Bukobawadau

EF OUTDOOR LTD WAFUNGUA OFISI YAO MKOANI MWANZA

Uzio wa Jengo la Ofisi ya EF OUTDOOR LTD iliopo maeneo ya Ilemela jijini Mwanza.
Pichani  anaonekana Mkurugenzi wa EF Outdoor Bwana Emmanuel Rutagonya akipokea sala ya kubariki maji ya uzima kutoka kwa Padri Kubeja kama namna ya kuibariki Nyumba yake hii Mpya.
Wadau  waalikwa wakifatilia Misa.
Dr. Muhada na Mkewe wakifatilia Misa ya kubariki nyumba na kufungua rasmi ofisi ya EF Outdoor.
Mkurugenzi na Father Kubeja.
Mdau  Ally Maswanya nae alikuwepo.
Mrs Maswanya nae alikuwepo.
Muonekano wa Jengo kwa mbali.
Kulia ni Mama Masubo nae ni mmoja wa Wakurugenzi katika kampuni hii.
Mkurugenzi akiwajali wageni.
Wadau wakipata Mlo.
 Tangu Chelsea wamewatoa Barcelona imekua shida!!
Wadau wakila raha...
Mjini mjini tu!!
EF Outdoor ni Kampuni iliyofunga taa za barabarani na mabango  ya matangazo mkoani Mwanza na hii ni sehemu ya vifaa vyao.
Huu ni mfano wa taa hizo.
Moja ya mali za EF Outdoor.

Picha kwa hisani ya Kaka mkuu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau