HAPA NA PALE NA CAMERA YETU NAKUTANA NA WABISHI HAWA!!!!
Camera usiku jana inakutana na wadau pichani wakiendeleza maisha kiwacha cha Victorious Perch Hotel.
Mdau Bushira akimbeba Mtoto Caren Octavian kutoka kwa Mama yake Mrs Octavian.
Mdau Octavian Mutalemwa kulia na Bi Edina Kahimbi(mrs Mutalemwa)Picha ya pamoja na Jamal (JAMCO)mdau Shaffi (kushoto)na katikati ni Ndg Bushira mwenye Mtoto.
Katikati ni Mdau Vicent Masabala.
Wakiwa ndani ya Warehouse ya United kingdom Mjini hapa maeneo ya Machinjio ya zamani zilipo ofisi zetu za Bukobawadau Blog.