Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU PANDE ZA KANTARE MUKYAMO-MUGANA

Camera yetu pande za Mugana.
Mdau Chrispine Muganyizi Ndyamukama mdau huyu ni shabiki na mpenzi mkubwa wa libeneke hili.
Hapa yupo na wazee wake Babu na Bibi  ni  Mzee Martin Mubyazi na Bibi Martina Mubyazi  wakiwa  kijijini Kantare Mukyamo.
 
SHUKRANI KWAKO MDAU  CHRISPINE KWA USHIRIKIANO UNAOTUPA!!!!!
 
Next Post Previous Post
Bukobawadau