HAPA NA PALE NA CAMERA YETU VIUNGA VYA MANISPAA YA BUKOBA
Hapa na pale Ujenzi wa Jengo la ghorofa nne ukiendelea kati ya makutano ya barabara ya Arusha na barabara ya Kashozi.
Shughuli ya malekebisho pembezoni mwa barabara mbalimbali ukiendelea ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Mafundi wakiendelea kulichanganya zege.
Pikipiki maarufu kama Asecdo anaonekana mdau akiendelea bila Mteja.
Bukobawadau Blog katika kila kile kinachoendelea Mjini hapa.