HAPA NA PALE NA CAMERA YETU-WADAU WA LIBENEKE HILI WAKUTANA KUFAHAMIANA!!
Wadau wakubwa wa blog hii wakutana kwa lengo la kufahamiana ni usiku wa jana pande za Mbalamwezi.
Anaonekana Mdau Bi Asmah na Omg Tuntu wadau hawa mara kwa mara wanatoa ushirikiano mkubwa katika update zinazotokea jijini Dar es salaam.
El Bajaj katika picha ya pamoja na Jodah
Ni katika kutekeleza Ilani ya mahusiana na Bukobawadau blog,shukrani za pekee zimfikie mtu mzima Jo' (kulia)kwa kuzidi kutuhunganisha....!!