Bukobawadau

HEKAHEKA ZA PASAKA NDANI YA SOKU KUU MJINI HAPA HII LEO!!!!

Mdau Bi Khadija akiwa katika hekaheka za ununuzi bidhaa muhimu kwa ajili ya sikukuu ya Pasaka 
Ikiwa leo ni siku ya pili kabla ya pasaka hali ya chakula sio mbaya ndani ya Soko kuu Mjini hapa.
Wingi wa ziada ya Chakula uliopo mkoani kwa sasa kumesaidia bei kuwa za kawaida kulinganisha na sikukuu nyingine zilizopita.
Mwonekano wa bidhaa mbalimbali ndani ya soko kuu Mjini hapa.
Muuzaji maarufu wa mbgamboga Ndg Hashimu  Mwarabu(kulia)akiwajibika.
 Anaonekana Mdau "Kagunguna" mwenye mfuko wa Rambo baada ya kukamilisha manunuzi yake.
Camera yetu inakutana na Mdau huyu akiwa anaingiza bidhaa Sokoni.
BUKOBAWADAU BLOG TUNAWATAKIA WADAU NYOTE PASAKA NJEMA NA YENYE HERI MWENYEZI MUNGU AWABARIKI
Next Post Previous Post
Bukobawadau