IBADA YA PASAKA ILIVYOKUA BUKOBA KATIKA KANISA LA MUDA RUMULI- IBADA IMEONGOZWA NA PADRE EDMUND MUTALEMWA MDAU WA SOKA.I
Waumini wakiwa wametulia katika Ibada ya Pasaka ikiwa ni sherehe za ufufuko wa Bwana yetu Yesu Kristo.
Mdau Mgeni (kushoto)na kijana Dickson David pamoja na Mdau Mama Kwezi ni sehemu ya waumini waliohudhulia Ibada ya Pasaka hii leo.
Anaonekana Dr Gosbert Kahamba kwa Nyuma na Mdau Mama Fitt na waumini wengine.
Mara baada ya Misa ya Pasaka waumini wakielekea makwao.
Baada ya Misa Camera yetu inakutana na Mdau Temmy kushoto, Sr. Velonica na Mdau Fortunatus Anthony.
Kushoto ni Mwalimu Merry Lutahakana, mtoto Malaika picha ya pamoja na Mdau Ewald muda mchache baada ya Misa
Picha kwa hisani ya Mushahilizi mtumishi Mdogo.!!
BUKOBAWADAU TUNAWATAKIA WADAU WOTE HERI YA PASAKA.