KOMPANY AIPAISHA MAN CITY KILELENI-FERGUSON APANIKI MAPEMA NA KUCHANGANYIKIWA,HISTORIA YA KUTOKUPOTEZA MECHI UWANJA WA ETIHAD YAENDELE!!!!
Bao safi la kichwa la Kompany laipa ushindi wa 1-0 Man City na kukalia usukani wa ligi kuu ya England kwa tofauti ya magoli 8 dhidi ya Manchester United ikiwa imebakia michezo miwili tu kumalizika kwa msimu
Ni hali ya kuchanganyikiwa kwa Sir Alex Ferguson na kuanzisha zogo kwa kocha wa Man City Roberto Mancini's na kumtoa katika hali ya mchezo na kufanya wapinzani wake kupata ushindi wa bao 1-0 lililopatikana kipindi cha kwanza, ni kichapo cha Nyumbani na Ugenini na ni historia nyingine nzuri kwa kocha Mancini's kutokupoteza mechi katika uwanja wake wa Etihad!!!!