KUTOKA KATIKA PAGE YA JANUARY MAKAMBA AMESEMA;"It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra."
NA HIZI NDIO COMMENT KUTOKA KWA WADAU
Charles Onesmo Thats good@ January Makamba.
nnocent Paul me I can say that ccm mnge endelea kukubali matokeo kiungwana kama ivyo ingependeza sana,hata ivyo pia wana ccm mmeonyesha ungwa but chadema poa sana .
Charles Onesmo Thats good@ January Makamba.
nnocent Paul me I can say that ccm mnge endelea kukubali matokeo kiungwana kama ivyo ingependeza sana,hata ivyo pia wana ccm mmeonyesha ungwa but chadema poa sana .
- Amiri Mganga Very concience, kweli ukomavu wa siasa co kuwa na midevu,mimvi na na kukaa bungen miaka nenda miaka rud,bali n maono na kukubari democrasia ya kweli! Bgup J.Makamba.Peter Feer Msumari There is no short cut to the Country of our dreams. Go CHADEMA win!!! 2015 president site (self-detetermination,pros
perity and progress) Khery Miraji Mda umefka viongoz wa taifa hl kucheza siasa za kwel ziszo na chuk, uhasama, matus na ftna! Mtengeneze sera zinazotekelezeka na siyo zile zivutiazo paspo kutekelezeka! Muonyesha ukomavu mkubwa wa ksiasa! mkubal matokeo pnd mnaposhndwa na mpeane mikono kama ishara yakulzia matokeo na mue tayal kushaur pnd mwenzio anapokwenda kombo! Kwan mda umefka wa mabadlko viongoz mnatakiwa kua tayal kuyapokea mabalko! Kwan mkalazmsha madaraka kwa nguvu kunaweza kuchochea machafuko kwenye taifa le2! Mungu akuzdshie moyo huo maradufu @january makambaThadei Kavishe kaka mfundishe lusinde awe na busara kama zakoHussein T. Salum mh,umekomaaa na,unaijua,siasa mngekuwa kama kumi wenye ukomavu kama ww,2ngekuwa narahaaaa,moyo wa kizungu mwili wa afric- Peter Feer Msumari There is no short cut to the Country of our dreams. Go CHADEMA win!!! 2015 president site (self-detetermination,pros
perity and progress) Fatma Mbelwa nimekukubali bro hapo umeonyesha wazi umekomaa kisiasa@january makambaZakayo Kivelege Congrants CCM mme2onyesha ukomavu