Bukobawadau

CHELSEA KIMYA KIMYA MPAKA FAINALI -BARCELONA 2-2 CHELSEA (Agg 2-3)

Anaonekana Andres Iniesta akigagaa chini huku  Ramires akitafuta njia iliyoweza kumfanya apate bao ambalo likidumu linamvusha Chelsea kwa faida ya bao la ugenini.
Kadi nyekundu aliyoipaa John Terry haikutosha kuwafanya wachezaji 10 wa Chelsea kuwapo mateso Barcelona.
Mwanzo wa Balaa ni pale Messi alipokosa penati.
Lampard akimpoza  Messi.
Dakika 1 kabla ya kipenga cha mwisho ikiwa  bado ni 2-1 Jamaa wanaomba uishe....
Kwa namna ya pekee Torres anawatoka walinzi wa Bac na kuweza kutupia wavuni bao la pili na kuandika historia ya wachezaji kumi kuioa nje Barcelona.
Aggregate ya 3-2 inawapeleka  Chelsea fainali ya kombe la Club bingwa Ulaya.!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau