Bukobawadau

MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KWENYE KUAGA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

  Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club asubuhi hii.
  Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.



 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa



Inavyosemekana zaidi ya watu mia moja wamezimia siku ya leo






Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba aliyenyoosha mkono.
 Umati wa watu makaburi ya kinondoni
Wengine juu ya miti hii ni kuhakikisha nao wanashuhudia mwili wa marehemu kanumba akipumzishwa katika nyumba ya milele
Kaburi la marehemu


picha zote kwa hisani ya michuzi blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau