MDAU DEONISE MALINZI AKABIDHI PIKIPIKI KWA UMOJA WA VIJANA WA CCM MKOA KAGERA
Jumla ya Pikipiki saba zilizotolewa kwa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa na Kamanda wa Umoja wa Vijana Ndg Deonise Malinzi zenye thamani ya shilingi milion kumi na laki saba.
Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mama Costansia Buhiye.
Mama Costansia Buhiye ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera.
Ndg Deonise Malinzi Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Kagera.
Ndg Malinzi amewaasa Vijana kuwa waaminifu ili kukisaidia chama kupata viongozi wazuri.
Ndg Deonise Malinzi akikabidhi pikipiki kwa Katibu wa CCM Wilaya.
Mwisho wa makabidhiano wanaonekana Wadau wakipiga makofi kwa furaha baada ya pikipiki kujaribiwa.!!!
Kila laheri kwa Mdau Deonise Malinzi!!!