Bukobawadau

MSANII MAARUFU NCHINI STEVEN KANUMBA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA LEO NA MAITI IKO MOCHWARI MUIMBILI

Muigizaji wa filamu nchini Stephen Kanumba amefariki usiku wa kuamkia leo,baada ya ugomvi na mpenzi wake huko nyumbani kwake Sinza.Mpenzi huyo ametoroka na inadaiwa alimsukuma marehemu kwa nyuma na kudondokea kisogo.Kanumba alilalamika maumivu makali ya kichwa ambapo alimwuita mdogo wake ampeleke hospitali,lakini alifariki kabla hajafika huko.Mwili wake umehifadhiwa Muhimbili.Source: Radio One
Next Post Previous Post
Bukobawadau