PICHA MBALIMBALI NA MAELEZO KUHUSIANA NA MSIBA WA KANUMBA-NYOTA ILIOZIMIKA GHAFLA
Mwili wa Marehemu Kanumba!!!!
Hapapitiki kuingia Nyumbani kwa Marehemu Kanumba,njia imezibwa magari hayaingii ni kwa miguu tu na Trafiki yupo kazini.
Hali Nyumbani kwa Kanumba.
Inatia huzuni kweli pole dada.
Dada huyu wakati anaingia kapiga mayowe hadi huruma,Kaingia na night dress.
Kanumba alifariki wakati anajiandaa kwenda kwenda Club na mpenzi wake baada ya kuingia bafuni alisikia mpenzi wake akiongea na simu ndipo alipotoka nje na kuanza kulupushani na pulukushani aliangukia pembe ya mlango na kuumia kichwa sana.
Daktari wake wake alifika na kumpima na kumpeleka muhimbili waliko kuta aishafariki.
Ikumbukwe kanumba alikuwa kwenye maandalizi ya kutoa movie yake ya iitwayo NDOA YANGU aliyo ifanya na Msanii Jack Walper.
Pia kanumba alikuwa na safari ya ghana kwenda kushut na Monalisa na kampuni ya hollywood.
Ikimbukwe kanumba alikuwa balozi wa mashiriki mbalimbali ikiwemo star times na OXFARM
Habari za kuaminika zinasema safari ya ghana ilikuwa imesogezwa hadi may ambapo Jumanne alitaka kuanza movie nyingine kabla ya safari.
Tarifa zote kutoka kwa Zakayo na Sum video shooter wa Kanumba.