PONGEZI KWA MTANGAZAJI ABDULRAZAK MAJID WA KASIBANTE FM RADIO
Mdau huyu hapa kakutwa na camera yetu akiwa kwenye ferry ya Misungwi busisi akielekea mza tayari kabisa kutangaza na kushuhudia mpambano wa Yanga na Toto Africans leo hii uwanjani ccm kirumba ambapo mpaka mwisho wa mchezo huo timu ya Toto imeibuka Kidedea kwa kuilaza Dar Yanga Africans mabao 3-2.
Ni miongoni mwa watangazaji wazuri sana wa michezo Nchini Tanzania na africa mashariki kwa ujumla,wapo watangazaji wanaopata shavu kutokana na radio walizomo ila Razak yupo radio Kasibante ya Mjini hapa ila anao uwezo mkubwa sana katika kutangaza hususani michezo
BUKOBAWADAU BLOG tunampongeza sana Razak maana tunajua matangazo mengine ni kwa mujibu wa juhudi,weledi wake binafsi kama hivi anaenda mza kuwapa raha wana Kagera kupitia Kasibante Fm Radio.