RAIS KIKWETE ATANGAZA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
RAIS KIKWETE ATANGAZA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
TUME YA MABADILIKO YA KATIBA (Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83, Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)______________________________
UONGOZI WA JUU
1. Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA - Mwenyekiti
2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA
1. Prof. Mwesiga L. BAREGU
2. Nd. Riziki Shahari MNGWALI
3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
4. Nd. Richard Shadrack LYIMO
5. Nd. John J. NKOLO
6. Alhaj Said EL- MAAMRY
7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU
8. Prof. Palamagamba J. KABUDI
9. Nd. Humphrey POLEPOLE
10. Nd. Yahya MSULWA
11. Nd. Esther P. MKWIZU
12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA
13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
15. Nd. Joseph BUTIKU
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR
1. Dkt. Salim Ahmed SALIM
2. Nd. Fatma Said ALI
3. Nd. Omar Sheha MUSSA
4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD
5. Nd. Awadh Ali SAID
6. Nd. Ussi Khamis HAJI
7. Nd. Salma MAOULIDI
8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED
9. Nd. Simai Mohamed SAID
10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA
11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN
12. Nd. Suleiman Omar ALI
13. Nd. Salama Kombo AHMED
14. Nd. Abubakar Mohammed ALI
15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH
UONGOZI WA SEKRETARIETI
1. Nd. Assaa Ahmad RASHID - Katibu
2. Nd. Casmir Sumba KYUKI - Naibu Katibu