Bukobawadau

SINA MBAVU NA HII;Bibi mmoja mkazi wa mbagala baada ya watu kugombea basi kama kawaida yao bibi alingia na kupata siti...Kwa furaha, alijikuta anatoa machozi, konda akamuuliza "BIBI mbona unalia?" BIBI akajibu "Mjukuu wangu nimekaa mbagala miaka 30 sijawahi kupata siti kwenye daladala, leo ni muujiza!"konda: bibi hiyo siti ni ya dereva!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau