UWANJA WA CCM KIRUMBA YANGA YATEPETA YACHAPWA 3-2 NA TOTO AFRICANS.
Kocha mkuu wa Toto ambae ni mchezaji wa zamani wa pamba na toto Africans Athuman Bilal akiwa ni mwenye furaha sana baada ya kuinyuka Yanga magoli 3-2
Mdau erasmus George Rweyongeza aka Misifa akiwa uwanjani CCM kirumba na mameneja wake Hamimu na Raster Camera yetu ilipomfikia Mdau Erasy alidai kuwa amegundua kuwa kazi zikiwa nyingi ni vyema kila kona ya Nchi ukawa na meneja wa kuratibu kazi zako. Mdau kutoka Bukoba mwana serengeti bia nae alikuwepo uwanjani. Basi la timu ya Toto lilitoka uwanjani kwa kusukumwa na mashabiki. Wadau wa Mza wakiwa wameungana kuipa moyo timu yao,namuona Fulgence Novatus,waziri Kabago na Mh.diwani Mabura wa kata ya Mkolani,na aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya kirumba kwa tiketi ya CCM Mdau Jackson Robert Nyamtondo Jack (masamaki) Namuona OMGJames Mgaya (kushoto) , Noel Nyamubi na meneja wa Erasy Misifa bwana Hamimu |