AJALI YA PIKIPIKI NA COROLLA JIONI YA LEO MAENEO YA UNITED KINGDOM WAREHOUSE
Gari aina ya Corolla lenye nambari T 851 BLF lililokua likijaribu kupita kwa ku overtake kwakutokea chini kabla ya kukutana na mwendesha pikipiki na kumvaa mzima mzima.
Pikipipi iliyogongwa ikiwa mikononi mwa polisi katika eneo la tukio huku simu zikipigwa kuitaji msaada zaidi.
Mashuhuda wa ajali hii wakiendelea kunogesha maongezi
Ajali hii imetokea jioni ya leo barabara ya Kashozi njia panda ya kishenge( Machinjioni) mjini hapa.