BANANA ARTS GROUP-KEMONDO WAZINDUA FILAMU MPYA IJULIKANAYO KWA JINA LA SIRI YA MAMA
mmm
COVER LA CD YA FILAMU YENYEWE.
Wadau wakimiminika ndani ya New Nehema Pub Kemondo.
Ma nanka akiwa makini na kinachoendelea
Uso kwa uso na kijana Madaba mjanja wa pande hizi na visiwa vya jirani.
Washika kipaza wakisababisha ile ile...
Show mbalimbali kama kawaida.
Ni kemondo Bay katika libeneke la tasnia hii ya filamu.
Ma mc's wa shughuli nzima usiku wa jana.
Wadau wangu mapromota kazi kwenu.
Utambulisho wa Uongozi wa Nehema Pub picha ya juu na hii ni Wasanii wa Banana Arts Group.
Vijana washikaji walihusika na utengenezaji wa filamu hii.
Mchakato wa kununua CD ulianza na CD moja imenunuliwa kwa sh 100,000 kama kuwapa nguvu wasanii wetu.
Cover la Cd yenyewe.
Watu na matumbo yao
Wasanii wetu katika Pozy