Bukobawadau

CHELSEA MABINGWA WA KOMBE LA ULAYA 2011-2012 BAADA YA KUSHINDA PENATI 4-3 DHIDI YA BUYERN MUNICH KATIKA UWANJA WA ALLIANZ ALLENA

Magoli mawili yaliopatikana mapema kwa timu zote mbili na penati aliyoikosa Robben katika dakika za nyongeza imepelekea fainali hii kuwa ya penati nakumpa Umaarufu mkubwa Didier Drogba aliyetupia  wavuni penati ya mwisho kwa kujipanga vizuri kwa umakuni kwenye yadi ya maguu 12
Anaonekana akishangilia nyota wa mchezo Didier Drogba,.
Next Post Previous Post
Bukobawadau