HABARI MATUKIO KATIKA SEND OFF YA BI JOYCE KAITESI
Sherehe ya Wazazi kumuaga Binti yao Bi Joyce Kaitesi mzaliwa wa Nyamkazi Bukoba na Harusi itafanyika Juma hili jijini Mwanza.
Kwa mashamsham, ndelemo,bashasha, Shangwe na style aina yake ndivyo wanavyo ingia Ukumbini Wapambe wa Bi Joyce Kaitesi.
Pamoja na hili na lile muhimu ni zawadi hizi za kiasili.
Ni taratibu za tamadumu zikichukua nafasi kama unavyojionea
Sherehe hii iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Bukoba Club hakika ilipambwa na kuvutia kwa naksh mbalimbali sambamba na Wadau wenyewe walioshiriki.
Mdau akicheck na Camera yetu wakati sherehe ikiendelea.
Akiwa ni MC'S wa muda mrefu toka Continental by Nate Mzee Faustin Kalugendo anaonekana akijiandaa kufungua Shampein .
Miongoni mwa Picha ya pamoja iliyosimama vyema.
Muda muafaka wa kupata Mlo.
Pichani ni Mdau Baby Kibengwe akiendeleza utaratibu.
Camera mkononi pia macho kwenye Camera hakika inapendeza!!!!!
Wageni waalikwa anaonekana Mama Rugusha kushoto, katikati ni Mama Aziza Mama Sadru .
Ni habari matukio kupitia Bukobawadau Blog.