Bukobawadau

HABARI MATUKIO KATIKA ZIARA YA WADAU NCHINI RWANDA.

Wadau wakiwa katika jengo la makumbusho ya mauaji ya KIMBARI ya mwaka 1994 ambapo dunia nzima ilighubikwa na majonzi.
 Picha ya Radio iliyo husika katika uchochezi wa mauaji ya halaiki.
Baadhi ya picha katika  kumbukumbu.
 Wadau wamebahatika kufika katika eneo hili ikiwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 18 ya mauaji ya kimbari
 Jamani tumwombe sana mola wetu....
 Ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya miaka 18 hivyo ndg na Jamaa  kutoka sehemu mbalimbali wamekusanyika kutoa heshima zao na mashada ya maua  kwenye makaburini
Sehemu ya Wadau walioshiriki ziara hii  katika picha ya pamoja.
Kulia ni dreva wa msafala wa wadau hawa.
 Mdau William Lutta akiwaongoza wadau mbalimbali kutoa heshima kwenye makaburi ya kumbukumbu.
Ni hatari kubwa ilikua ni hali fulani ya watu kufanya mchakato wa kiuharibifu kwa ukamilifu kwa kulenga sehemu ndogo ya kikundi cha kikabila,kirangi,kidini au kitaifa na kufanya machafuko makubwa ya kimbari na katika hili bukobawadau blogspot tunafanya kukemea kwa hisia kubwa yale yanayoendelea hivi sasa uko Zanzibar .
 Kila siku ya Jumamosi ni siku ya usafi na kama kawaida lipo kisheria zaidi na wanakagera walifika kujifunza na kuona kile mkuu wa Mkoa Mh. Massawe anachopigania kila kukicha.
Kila mdau alishiriki si kikamilifu tu bali kwa ukamilifu
Kazi kwelikweli ila inapendeza  pia.
Usafi unakufanya ujishtukie mwenyewe
hivi majuzi kuna mtangazaji wa Radio moja jiini Dar amezua taflani kwa kuzungumzia usafi tu wa mtu mmoja mmoja kiundani hicho kisa naogopa ata kusimlia...


Mdau Zury mshirika katika ziara hii akicheck na Camera yetu
Mizunguko ya hapa na pale ikiendelea ndani ya Jiji la Kigali.
Mdau Eng. Kijigo akipata  msosi huku akiwaza  mambo mengi kichwani mwake.
Nyumba ya wageni walipofikia Wadau kutoka Bukoba.

Katika safari  mambo kama haya huwa hayakosi
Mara mambo yakawa sawa   safari ya kurudi nyumbani ikaendelea.

INAENDELEA......
Next Post Previous Post
Bukobawadau