HAPA NA PALE NA CAMERA YETU
Nikiwa mitaa ya Wenger Saloon nakutana na Mdau wa Nshamba ni kaka mkubwa wa Wilson Mashilingi (kulia )anajulikana kama Mdau Venant Mashilingi na kushoto ni Mzee Jimmy.
Majengo ya mji wetu katika hali ya uchakavu wa mapaa.
Hii ni hali ya stend kuu ya Mabasi ya Manispaa ya Mji Bukoba.
Washikaji wakifatilia mechi ya kirafiki
Hekaheka za Side boy kitaani.
Majengo ya mji wetu katika hali ya uchakavu wa mapaa.
Hii ni hali ya stend kuu ya Mabasi ya Manispaa ya Mji Bukoba.
Washikaji wakifatilia mechi ya kirafiki
Hekaheka za Side boy kitaani.