Bukobawadau

HII LEO NDANI YA JAMCO BARBER SHOP HAKIKA JAMAA WAMEJIPANGA VIZURI

Jamco barber Shop iliopo Miembeni barabara ya zamani ya Kashai mkabala na Modeln Hotel
 Huduma  mbalimbali kama Facial,Massage,scrub,manicure hair&pedicure
Huduma babu kubwa ikiendelea...
Maswala ya Mng'ao na Scrub
 Baadhi ya wateja wakiendelea kusubili huduma.
Mwonekano wa ndani
Next Post Previous Post
Bukobawadau