Bukobawadau

JE?HUU NI UHUNGWANA?

Ni ajali niliyohishudia  kati ya  dreva wa pikipiki na mwendesha baiskeli hii leo 
Mwendesha pikipiki( mwenye suti) amechukizwa sana na kitendo cha dreva pikipiki aliye mgonga nakuamua kumpotezea na kuondoka zake,jamaa amefanya kumkimbiza na kumvuta kwa nyuma  kama zongelo linavyo onyesha pichani......!!
Zogo kubwa likiendelea sambamba na mvua kubwa ikininyeshea kitu kilichopelekea nisilipate tukio kwa uzuri,inaonenekana Jamaa wakionyeshana umwamba.
Mwisho ya yote jamaa wa baiskeli amefanya kulipizia kwa kumsukuma dreva pikipiki kwenye dimbwi la maji.
Kisa hiki kimetokea maeneo ya CRDB kati ya makutano ya barabara ya kashozi na barabara ya Jamhuri.

 JE? HUU NI  UHUNGWANA?
Next Post Previous Post
Bukobawadau