Bukobawadau

MAWAZIRI WALIOPIGWA CHINI NI 1. Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo 2. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja 3.Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige 4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Omary Nundu 5. Aliyekuwa Waziri wa Afya, Dkt. Hadji Mponda 6. Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami

Next Post Previous Post
Bukobawadau