MISS LAKE ZONE INTER-COLLEGE 2011 KUFANYIKA BUKOBA TAREHE 23-6-2012
Msanii Mpoki atakuwepo kusababisha
Bi Khadija Kopa.
Bi Khadija Kopa.
ANGELS REAL ENTERTAINMENT INAKULETEA SHOW YA MISS LAKE ZONE INTER-COLLEGE 2012 KWA MARA YA KWANZA KUFANYIKA KATIKA MKOA WA KAGERA MJINI BUKOBA.
SHOW ITAKUA PALE LINAZ CLUB- BUKOBA
TAREHE 23-6-2012 SIKU YA JUMAMOSI
WASANII KHADIJA KOPA (MALKIA WA MIPASHO TANZANIA) NA MCHEKESHAJI MPOKI (BEPARI LA KIHAYA) WOTE KUTOKA DAR ES SALAAM.
WAREMBO KUMI NA TANO KUTOKA MWANZA( VYUO VYA SAUT, TUMAINI, CBE, UTALII), KUTOKA KAGERA( OPEN UNIVERSITY, SAUT) PIA NA KUTOKA GEITA NA SHINYANGA, WOTE KUCHUANA KATIKA JUKWAA MOJA SIKU HIYO YA TAREHE 23-6-2012(JUMAMOSI). WASHINDI WATATU KUWAKILISHA KANDA YA ZIWA KWENYE FINALI ZA MISS TANZANIA 2012 ZITAKAZOFANYIKA SEPTEMBER PALE JIJINI DAR ES SALAAM. SHOW IMEDHAMINIWA NA TBL (REDDS), COCACOLA NYANZA, BUKOBA WADAU BLOGSPOT, KASIBANTE FM RADIO, BUKOBA CABLE TV, KILOYERA TOURS, SMART HOTEL…
WADHAMINI WENGINE WANAO TAKA KUTANGWAZA NA BIASHARA ZAO NA MPOKI KWENYE HIYO SHOW WANAKALIBISHWA SANA…..
PLEASE CALL 0715 259 488 OR 0755 259 488. KARIBUNI SANA.
BUKOBA WADAU BLOGSPOT IS THE BEST…….!!!!