MKUU WA MKOA MH. MASSAWE KATIKA MTAA KWA MTAA ,NYUMBA KWA NYUMBA AKIKAGUA USAFI
Mh. Massawe akiendeleza kukatiza mitaa mbalimbali katika kuimiza zoezi la wakazi na usafi wa mazingira pia kutoza faini pale inapobidi
Zoezi hili linafanyika kila siku za Alhamisi.
Uku wadau wakitangaziwa kukaa mkao wa utayari kabla Mh. Massawe ajafika kwenye makazi yao, hapa anaonekana Mh. akichaniza kwenye uchochoro.
Maofisa walioambata na Mkuu wa Mkoa katika zoezi zima.