Bukobawadau

ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116539
Fax: 255-22-2113425
 
ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

PRESIDENT’S OFFICE,
      THE STATE HOUSE,
       P.O. BOX 9120,  
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

MAWAZIRI

1.            OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)Ndugu George Mkuchika, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)Ndugu Celina Kombani, Mb.,

2.            OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)Ndugu Samia H.  Suluhu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,

3.            OFISI  YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,

4.            WIZARA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika MasharikiNdugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa UjenziDr.  John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya UfundiDr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na WatotoNdugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNdugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya NchiNdugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na UvuviDr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na TeknolojiaProf.  Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof.  Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa MajiProf. Jumanne Maghembe,  Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara MaalumProf. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa  Kilimo, Chakula na UshirikaEng. Christopher Chiza, Mb.,

Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoDr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na UtaliiNdugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na MadiniProf. Sospeter Muhongo, Mb.,


5.            NAIBU MAWAZIRI

 OFISI YA RAIS

HAKUNA NAIBU WAZIRI

6.            OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa RaisNdugu Charles Kitwanga, Mb.,

7.            OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,

8.            WIZARA MBALIMBALI

Naibu Waziri wa Kazi na AjiraDr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na UshirikaNdugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya NchiNdugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na BiasharaNdugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na UvuviNdugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNdugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi,Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na UtaliiNdugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa UjenziNdugu Gerson Lwenge, Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na MadiniNdugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa UchukuziDr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoNdugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa MajiEng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na SheriaNdugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa FedhaNdugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa FedhaNdugu Saada Mkuya Salum, Mb.,

Ikulu.
Dar es salaam.
04 May, 2012



Next Post Previous Post
Bukobawadau