Bukobawadau

TUNAMPONGEZA MDAU BALOZI KHAMIS JUMA SUED KAGASHEKI(KASIBANTE) KWA KUAMINIKA NA KUTEULIWA KAWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

 Rais  Jakaya Kikwete akimuapisha Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Juma Sued Kagasheki (Kasibante), Mb.wa Bukoba Mjini wakati wa hafla fupi iliofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.

Bukobawadau Blog tunatoa pongezi kwa Balozi Khamis Kagasheki kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau