Bukobawadau

PITA PITA ZA HAPA NA PALE NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA! BUKOBAWADAU TUPO NDANI YA KAHORORO KUWALETEA PICHA ZAIDI ZA UKANDA HUO

 Maeneo ya kahororo ukanda wa juu kwa mbali kabisa ni mwonekano wa ziwa victoria
Maeneo haya pia ni shamba, njia, tanulu na Mawindo ya Senene kama inavyo onekanana kwa mbali MABATI yaliyopangwa tayari kwa kutega senene.


 Mvua zinazoendelea kunyesha zimechangia kuharibika maeneo haya kwa kiasi fulani japo na miundo mbinu yenyewe si endelevu.
Shughuli za Ujenzi zinaendelea kwa kasi kubwa  katika makazi haya mapya.
 Kijani kila kona katika maeneo haya ya kahororo ukanda wa juu






 Barabara inayoelekea mugeza  imeharibika kwa kiasi kikubwa sana.
Muendelezo wa hapa na pale na Camera yetu hii leo.
Kahororo moja hiyo....!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau