Bukobawadau

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA KIZIMBANI DAR KWA UTETEZI

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akito maelezo mahakamani

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, yupo kizimbani muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi akidaiwa kuisababishia serikali hasara kubwa.

Source Mwananchi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau