WADAU WA MTAA WA MIGEYO WALIVYOSHEREKEA UBINGWA WA MAN CITY
Hawa ni baadhi ya vijana wanaondeleza shughuli zao katika mtaa wa Migeyo uliopo Manispaa ya Bukoba
wakiwa wametupia Jezi za Man City tayari kwa kuungana na wenzao katika kupongezana.
Ni wazi kwamba si wote ni wapenzi wa Man City bali kinacho endelea hapa ni uasama, na uzandiki dhidi ya Man United.
Vitendo kama hivi tuliviona nchini Libya ...!!
Hapa Kaka mkuu mmoja wananzengo akipata msosi wa kushangilia Man United kukosa kombe,na kshangilia gunners kuwa mshindi wa tatu sina hakika kama yote hii ni Man City kutwaa kombe
Mdau Clein akishambulia hotpot la msosi....!!!
Wadau wa mtaa wa Migeyo na mitaa ya Jirani waliopenda waliitwa kula kuku pilau na sio pilau kuku.
Wafadhili wa Mnusu huo aka (Byashinyanga) Kaka Mkubwa na RMK wakipata Msosi na sio wote ni mashabiki wa City bali ni unazi tu unaendelea.

Kulia kabisa anaonekana Bi Salome aka Mama Chui ata sijui yeye ni timu gani au mambo yetu yale ya kuku pilau?
Hasira zao zinawatuma kuchoma Jezi ya United baada ya kushiba "Cha pilau kuku"
Ninachoweza kusema ni kwamba mafanikio ya kitu yanatokana na Uimara wa kitu chenyewe!!