WADAU WAKIFATILIA MECHI YA ARSENAL NA NORWICH KWENYE HOTEL YA PRINCE ILIOPO MJINI HAPA
Mashabiki na wapenzi wa timu ya Arsenal wakifatilia mechi yao dhidi ya Norwich iliomalizika kwa sare ya 3-3
Mdau Ajuaye Kheri Msese kama kawaida yeye na kiwanja hiki.
Mwonekano wa jengo la Prince Motel
Soka linaendelea na msosi unaendelezwa
Wakati wengine wanapiga yowe za kushangilia magoli wengine walitumi muda huo kufanya haya...!!!!
Mdau wa siku nyingi kitaa hiki Ndg Willy Kalike akifatilia soka.
Maegesho kiaina si haba...